Kile Unachoweza Kutarajia
Ikiwa unahudhuria kanisani kwa mara ya kwanza, unaweza kuwa na wasiwasi kidogo. Usiwe wasiwasi; tuko hapa kwa ajili yako! Unachoweza kutarajia kutoka kwenye matembezi yako.
Jifunze ZaidiMuda wa ibada ya Kanisa na ratiba hutofautiana kutoka mkusanyiko mmoja hadi mwingine. Tafadhali piga simu kwa ajili ya nyakati mahususi. Mikutano yote ya kanisa hufuata muundo ule ule wa saa 2: mkutano mmoja mkuu kwa ajili ya kila mtu na darasa lingine moja lililotenganishwa na makundi ya umri au maslahi ya jumla.
Ikiwa unahudhuria kanisani kwa mara ya kwanza, unaweza kuwa na wasiwasi kidogo. Usiwe wasiwasi; tuko hapa kwa ajili yako! Unachoweza kutarajia kutoka kwenye matembezi yako.
Jifunze ZaidiTunajua kujaribu kitu kipya wakati mwingine kinaweza kuwa jambo la kutisha, lakini usijali! Ingawa wengi wa waumini wetu huja kanisani wao wenyewe kila wiki, unaweza kujiandikisha ili wamisionari wa eneo lenu waambatane nawe kama ungependa.
Learn MoreTunaamini katika kufuata mfano wa Yesu Kristo. Hii inajumuisha kuwalisha wenye njaa, kuwasaidia wenye shida, kuwavisha walio uchi, na kuhudumu katika jumuiya zetu ulimwenguni kote. Njoo, ujiunge nasi!
Learn MoreNdiyo. Mkusanyiko wa eneo lako una kitu kwa ajili ya watu binafsi wa rika zote.
Ndiyo. Wengi wa waumini wetu huja kanisani peke yao kila wiki. Lakini kama ungependa mtu ahudhurie pamoja nawe mara ya kwanza, unaweza kujiandikisha hapa!
Hakuna mahitaji ya kushiriki. Katika Jumapili yako ya kwanza, unaweza kukaa nyuma na kufurahia tu ibada. Ikiwa unataka kushiriki kwa kupokea sakramenti au kujibu maswali, unakaribishwa. Fanya cho chote kinachoweza kuwa faraja kwako.
Unaweza daima kutegemea mkutano mmoja mkuu ambapo tunapokea sakramenti ili kumkumbuka Mwokozi, ikifuatiwa na madarasa yaliyotenganishwa na makundi ya umri au maslahi ya jumla.
Ingawa watu wengi huvaa mavazi rasmi, kama vile magauni, sketi, vifungo\hadi chini , na tai, unakaribishwa kuvaa mavazi yoyote unayojisikia vizuri kuvaa.
Unganika na watu binafsi katika jumuiya yako na kuwa sehemu ya mtandao wa watu wanaotafuta kusaidiana.
Bonyeza HapaPokea uteuzi wa video na makala zenye mwongozo. Unaweza pia kujiandikisha kwa ajili ya mistari ya kila siku ya Biblia, hadithi kuhusu maisha ya Kristo, na zaidi!
Jumbe za Kuinua za Kila WikiKristo anaweza kukusaidia kuishi maisha ya furaha zaidi na kuwa karibu Naye kupitia uzoefu rahisi wa kiroho. Tafuta jinsi unavyoweza kukuza uhusiano wa karibu na Yesu.
Learn MoreKuhudhuria kanisa kila Jumapili ni pumziko kutoka kwa maisha ya kila siku yenye kasi. Hudhuria kanisa kwenye Old Malindi Rd ili kutafakari, kumwabudu Mungu, kuimarisha muunganiko wako wa kiroho, na kufokasi kwa Yesu. Abudu pamoja na jumuiya ya watu wanaojaribu kuwa zaidi kama Kristo na kujifunza kutoka kwa kila mmoja. Kuna mikutano miwili katika muda wa saa mbili. Mkutano mkuu unaitwa mkutano wa sakramenti. Mkutano huu unajumuisha nyimbo, sala na mahubiri (au “hotuba”) zinazotolewa na waumini tofauti tofafuti wa mkusanyiko na kupokea sakramenti. Kama nyongeza ya mkutano wa sakramenti, kuna madarasa mengine tofauti kwa ajili ya watoto na watu wazima. Kuna kitu kwa kila mtu kutoka umri wa miezi 18 na kuendelea juu! Kila moja hukutana pamoja kwa ajili ya somo na majadiliano ambayo yamejikita kwenye sehemu tofauti ya maandiko kila wiki.
www.churchofjesuschrist.org